![]() |
PHOTO:Goal.com |
Kalabu ya Gor Mahia imepoteza
mecha dhidi ya Green Eagles ya Zambia, kwa
magoli 2-1 kwenye mchezo war obo finali ya kipute cha CECAFA.
Kogalo walianza vyema mchezo huo kwa kutangulia kuvizia
lango la Green eagles kabla ya vijana hao wa Zambia kusawazisha na kuongeza bao
la ushindi.
Mchezo mwingine wa robo fainali utapigwa leo kati ya wenyeji
APR ya Rwanda na Maniema Union ya DR Congo.
Azam ya Tanzania ambao ni mabingwa watetezi tayari
wameshajikatia tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano hiyo.
Mechi za nusu fainali zitapigwa kesho Ijumaa huku fainali
ikitandazwa Julai 21 nchini Rwanda .
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.