Wakaazi kutoka eneo la Rongai kaunti ya Nakuru wamamkia kisa cha mshangao baada ya kushuhudia ndama mwenye miguu saba.
Mmliki wa ndama huyo anasema kuwa hajawai kushuhudia tukio kama hilo
Wananchi kutoka eneo hilo pia wametaka idara ya mifugo kuelezea malimwengu hayo.
Hata hivyo ndama huyo aliaga dunia muda mfupi baada ya kuzaliwa.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.