Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

"Maisha yangu yako hatarini" asema Ekuru Aukot

Kwa mjibu wa gazeti la The standard kiongozi huyu anasema kuwa baada ya majangili kuvamia afisi yake Lavington na kutoweka na kipakatalishi muhimu pamoja na simu,haelewi ni hatua gani watachukua dhidi ya Maisha yake.
Kwa sasa anatafuta mbinu za kuzungumza na Inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai kuangazia swala hilo.
Awali iliarifiwa kuwa majambazi hao walifyatua risasi,madai ambayo yamekinzana na ripoti ya idara ya Jinai eneo la Daggoreti kupitia afisa wake Francis Wanjau.
Haya yanajiri huku Aukot akizidi kuchochea mswada wake wa kubadilisha katiba ili kuzungumza mzigo kwa mwananchi wa kawaida.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.