Kwenye instagram yake, anasema kuwa mambo hayajakuwa rahisi kwao wakiwa pamoja na Mr Seed na David Wonder.
Aliondoka EMB baada ya kulalamikia preasure za mkewe Bahati,Diana
Hii hapa chapisho lake
“Enyewe wasee I’ve been offline nikijifikiria sana na ata after @bahatikenya kunisamehea kuna vitu sijaweza mwambia Coz somehow I’m guilty. Lakini kuna vitu hazifichiki eg. Kama venye kenya yote imewitness akitoa #PeterBlessing from kazi ya security guard akajitolea akaenda hadi kwao home Taita Taveta na suddenly ndio huyu kijana amekuwa an overnight superstar #muchrespect. This has taken me while back vile bahati alinitoa mtaani nikiwa at a worse situation as a drug addict while I had lost hope in Music akanipea jina WEEZDOM. He literally introduced me to every media personality I know today Lakini ndio ujue binadamu ni binadamu hizo hizo radio station alinipeleka ndio nilienda interviews baadae nikamtukana. Mehn!”
Weezdom ni baadhi ya wasanii waliokuwa marafiki wa dhati na Bajhati na Collabo zao zilipojkelewa vyema.
Iwapo atarudi EMB basi huenda wakaangusha ngoma kali,na wengine wanaona kuwa huenda ujumbe huu ni wa kutafuta kiki kabala ya kuachia kibao kipya.
Huu ndio ujumbe uliopokea comments nyingi saana wengi wakipuuza na kuitaja kama maigizo tuu
But as the scripture says….. God has used Peter to remind me a lot about being grateful and I strongly believe #EMB is my home. Enyewe bahati hii ni kitu ningekwambia personally lakini juu nilijiona nimekua Celeb.. nilikutusi kwa hii hii public na nimechoose ku apologize mbele yao. I know it’s not easy for a Man ku put Pride aside na ku accept mistake, But even with your young age I want to accept you are my Father in Gospel Music. There’s a reason why God used you to help me and so many others. And Now as a #ProdigalSon I request to come back home. Juu ata tukijifanya tuko poa kwa hii social media na akina wonder na seed. Things are not okey juu enyewe kuna blessing tulihata juu ya kufight ule mtu God alitumia kutuinua tukiwa chini. I’ll be waiting for you ukitoka show yako Eldoret tuongee face to face. To @PeterBlessingMusicits your time! My Prayer is may God lift you and as He lifts you Stay humble.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.