Ndege ya
Silverstone imetua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Eldoret baada
ya gurudumu moja kuanguka wakati ndege hiyo ilipokuwa ikipaa katika
uwanja wa Lodwar ikielekea Nairobi.
Akithibitisha hayo Kamanda
wa polisi wa kaunti ya Uasin Gishu Johnstone Ipara amesema kuwa
walipokea ripoti kutoka Lodwar kuwa ndege hiyo ya Silverstone ingetua
Katika uwanja wa Ndege wa kimataifa ya Eldoret baada ya gurudumu hilo
kuanguka.
About KELVIN WILLIAMS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.