Licha ya wakazi hawa kuomba usaidizi kwa viongozi wa eneo bunge hilo hawajapata usaidizi wowote jambo ambalo limewafanya kurudi nyuma kimaendeleo kwani miradi walioanzisha ambayo huhitaji stima sasa imesitishwa.
Wanasema kuwa ukosefu wa nguvu za umeme umechangia visa vya uhalifu huku wahalifu wakitumia giza kuwapora wakaazi.
Vile vile wamesema kuwa wanakosa huduma muhimu zinazohitaji nguvu za umeme huku wakaazi walio na biashara katika maeneo hayo pia wakikosa riziki yao ya kila siku
About KELVIN WILLIAMS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.