Wakaazi kwenye eneo la Gituamba kwenye wadi ya Kiamaina
wamewalaumu maafisa Wa zimamoto kwenye kaunti ya Nakuru, kwa kukosa
kufika katika eneo la mkasa wa moto eneo hilo.
Hii ni baada ya Nyumba moja eneo la Gituamba kuteketea bila chochote kuokolewa.
Kulingana na mwakilishi wadi hiyo Wahome Gathitu, chanzo
cha moto huo huenda kulitokana na simu ambayo iikuwa imeachwa
kuchaji(charging) ndani ya nyumba hiyo.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.