Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Mbunge wa Kibra Ken Okoth ameaga dunia

Mbunge wa Kibra Ken Okoth ameaga dunia.
Mbunge huyo alilazwa usiku wa kuamkia leo katika hospitalai ya Nairobi Hospital baada ya kuzidiwa na makali ya saratani.
Kwa mjibu wa ripoti tulizopokea,Okoth ameaga dunia akipokea matibabu.
Ni wiki mbili tu baada ya mbunge huyu kurejea nchini baada ya kuwa nje kwa takriban miezi tano kutafuta matibabu ya ugonjwa huo.
Okoth ni mtu wa pili mashuhuri kuaga dunia chini ya mwezi mmoja baada ya aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa Safaricom Bob Collymore kuaga.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.