Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Ng'ombe kupewa cheti cha kuzaliwa nchini Uganda serikali yatangaza


Iwapo wewe ni mfugaji wa  Ng'ombe nchini Uganda basi utahitaji  kuwatafutia  vyeti vya kuzaliwa.Taaarifa hii imetolewa  serikali nchini humo kupitia kwa waziri wa Kilimo Vincent Sempija. Amezungumza wakati alipohudhuria maonyesho ya kilimo kwenye uwanja wa Nile mjini Jinja. Gazeti moja la Daily Monitor nchini humo  limesema kuwa waziri huyo anadai kuwa nyama kutoka Uganda imekuwa ikikataliwa katika mataifa ya kizungu.


About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.