BBC imeripoti kuwa Beyonce amefichua nyimbo zilizomo
kwenye albamu yake mpya itakayoambatana na filamu mpya The Lion King
remake na albamu hiyo imejumuisha wasanii nyota na wa juu wa muziki
kutoka Afrika.
Wasanii wa Nigeria Tiwa Savage na Mr Eazi
wanatumbuzia katika wimbo wa 'Keys to the Kingdom', wengine Tekno na
Yemi Alade katika kibao 'Don't Jealous Me'.Burna Boy ana kibao cha kipekee au solo, 'Ja Ara E', huku msanii wa Cameroon Salatiel akionekana akiimba na Beyonce na Pharrell Williams katika kibao 'Water'
Albamu hiyo ka jina 'The Lion King: The Gift', imezinduliwa jana.
Inajumuisha pia vibao vya ushirikiano na wasanii wa Marekani kama Kendrick Lamar, Pharrell Williams, Childish Gambino, na binti yake Beyonce, Blue Ivy miongoni mwa wengine.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.