Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Sensa ya kuhesabu watu wenye jinsia mbili Kenya kufanyika Agosti hii

Kwa mjibu wa shirika la habari la BBC Kenya itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kukusanya data ya watu wenye jinsia mbili katika sensa ya kitaifa.
Sensa hiyo ya iliyopangiwa kufanyika mwezi wa Agosti inalenga kubaini idadi ya watu ambao hawajitambulishi kama wanaume au wanawake.
Mahuntha nchini Kenya hushambuliwa mara kwa mara na kubaguliwa katika jamii.
Watu hao wanakadiriwa kuwa zaidi ya 700,000 miongoni mwa wakilinganishwa na idadi jumla ya watu milioni 49 nchini Kenya.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.