Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

"Kuweni watulivu idara ya mahakama ina taratibu zake,Jaji mkuu David Maraga awakosoa wanaotaka kesi za ufisadi kuendeshwa kwa kasi

JAJI MKUU DAVID MARAGA AMEWATAKA WAKENYA KUWA WAVUMILIVU HUKU AKISEMA IDARA YA MAHAKAMA IMEBUNI MBINU ZA KUKABILIANA NA KESI ZA UFISADI AMBAZO ZINAFIKISHWA MBELE YAKE
AKIONGEA BAADA YA KUFUNGUA RASMI MAHAKAMA YA MOLO JAJI MKUU AMESEMA WANANANCHI WAMECHOSHWA NA KASHFA NYINGI ZA UFISADI NA KWAMBA WAMEKUWA WAKITIZAMA MAHAKAMA KUTOA UAMUZI MARA MOJA
AMESEMA SHERIA NI SHARTI IFUATWE KATIKA KUTOA UAMUZI KATIKA KESI HIZO HUKU AKISEMA WASHUKIWA PAMOJA NA UPANDE WA MASHTAKA UPANASWA KUPEWA NAFASI SAWA KABLA YA KESI HIZO KUSIKILIZWA NA KUAMULIWA MAHAKAMANI

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.