MBUNGE WA KURESOI KASKAZINI MOSES
CHEBOI AMBAYE PIA NI NAIBU SPIKA WA BUNGE LA KITAIFA AMEWATAKA VIONGOZI KUJIEPUSHA
NA MDADHALO KUHUSU UCHAGUZI MKUU MWAKA 2022
CHEBOI AMESEMA SIASA ZA URIDHI
ZINACHANGIA JOTO LA KISIASA NCHINI WAKATI AMBAPO VIONGOZI WANAPASWA KUWA MSTALI
WA MBELE KUTEKELEZA MAENDELEO KWA WANANCHI
RAIS UHURU KENYATTA KATIKA ENEO LA
RUIRU HIVI MAJUZI ALINUKULIWA AKISEMA KWAMBA HAJALI NI NANI ATAKUWA RAIS BAADA
YAKE KUKAMILISHA KIPINDI CHAKE CHA MWISHO IKULU
CHEBOI AMESEMA SIASI HIZO HUENDA
ZIKAENDELEA KULETA NYUFA KATIKA MUUNGANO TAWALA WA JUBILEE AKISEMA ZINAPASWA
KUEPUKWA
AKIONGEA KATIKA ENEO LA SIRIKWA,
MBUNGE HUYO AMESEMA VIONGOZI WANAPASWA KUZINGATIA UMOJA NA UTENDAKAZI KWA
WANANCHI
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.