Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Uchimbaji wa Migodi ya Mchanga mjini Naivasha unachangia katika uharibifu wa miundo msingi

Wakulima katika maeneo ya Karai, Maraigushu na Gatamaiyu mjini Naivasha wameteta vikali kutoka na ongezeko la watu wanaofanya kazi katika migodi mbali mbali eneo hilo wakisema kuwa shughuli hizo zimeadhiri miundo msingi kwa kiasi kikubwa.
Wakizungumza baada ya kufanya maandamano ili kupinga kazi zinazoendelea, wakulima hao wamesema kazi hizo zimeadhiri ukulima, zimefunga barabara n ahata kuangusha vikingi vya nyaya za stima na kufanya eneo hilo kukosa stima kwa kipindi cha miezi miwili sasa.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.