Gavana wa Nairobi Mike Sonko amesema
kufungwa kwa viwanda na kampuni za maua kumeadhiri pakubwa uchumi wa mji wa
Naivasha.
Akizungumza baada ya kuzuru mji huo,
Sonko ametaja kufungwa kwa kampuni ya maua ya Karuturi kama pigo kubwa huku
takriban watu elfu nne wakipoteza kazi.
Kutokana na hayo, gavana huyo
amesema atafanya kikao na Rais Uhuru Kenyatta kwa madhumuni ya kuona jinsi
kampuni hiyo inaeza fufuliwa na vile vile kusema eneo linalojengwa la viwanda
mjini humo linafaa kuwaajiri kazi wakazi wa mji huo ili wote wanufaike na
miradi ya serikali.
Naye mwenyekiti wa chama cha Jubilee
mjini humo James Karimi amesema wote wameungana ili kuhakikisha ajenda nne za
serikali zimefaulu.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.