Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Inter Millan yamkubali Sanchez kwa Mkopo.

Inter Milan imekubali  dili ya mkopo kwa Nyota  Alexis Sanchez  kutoka  Manchester United.
Meneja wa  Inter Antonio Conte anatazamia sahihi ya  Sanchez kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa siku ya Jumatatu.
Iwapo dili hilo litakamilishwa Sanchez atajiunga na Lukaku aliyejiunga na miamba  hao Italia mwanzoni mwa msimu huu kwa kitita cha pauni milioni 74
 Hata hivyo haijabainika iwapo Inter watamsajili Sanchez baada ya mkopo wake kukamilika

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.