Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Sheria za Waziri Matiang'i kuhusu sensa zawapa hasara wanandoa watarajiwa Jijini

Itakuwa hasara kubwa sasa kwa familia moja ambayo tayari ilikuwa imepamga sherehe za harusi yao jumamosi hii jijini Nairobi baada ya waziri wa usalama wa ndani Dkt.Fred Matiang'i kupiga marufuku sherehe zozote za usiku wa jumamosi na jumapoili wikendi hii.Kwa mjibu wa familia hiyo harusi hiyo ilikuwa imeratibiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu katika mkahawa mmoja maarufu sana jijini humo na kisha kufuatia na "Kujirusha" katika mkahawa uo huo
Kwa sasa wanasema kuwa watalazimishwa tu kumaliza sherehe yao saa kumi na mija jioni na kukadiria hasara ya maandalizi ya sherehe hiyo
 Majina ya wahusika tunabana kwa sababu zao binafsi.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.