Kwa mjibu wa baadhi ya mashabiki waliozungumza,majaji walioko kwa sasa wakijumuisha mwanahabari tajika nchini Jeff koinange, mwimbaji Vanessa Mdee kutoka Tanzania, mtangazaji Gaetano Kagwa kutoka Uganda na DJ Makeda Mahadeo kuoka Rwanda hawana tajriba ya kutosha kufanikisha kipindi hicho.
Mashabiki wanadai eti wanne hao wana mapendeleo kwa waigizaji na hivyo kumtaka jaji Ian anayejulikana na wengi kwa msimamo mkali na maoni yenye uzoefu mkubwa.
Ni takriban mwezi mmoja tu sasa tangu kipindi hicho kianze kupeperushwa kwenye runinga ya Citizen.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.