Kiongozi wa mashtaka ya umma Noordin Haji sasa amesema kuwa maafisa wakuu wa shirika la ukiusanyaji ushuru
nchini KRA wanachunguzwa kwa kuwasaidia wafanyibiashara kukwepa ushuru.
Akizungumza wakati wa
mkutano wa idara yake mjini Naivasha, Haji amesema maafisa hao walikuwa
wakishirikiana na wafanyibiashara kunyima Kenya ushuru wa pesa nyingi na kusema
huenda watiwe mbaroni hivi karibuni.
Vile vile mkurugenzi huyo
amesema idara yake inawachunguza mawaziri wawili kuhusiana na mradi
uliokwama wa maji wa bwawa la Itare ambao uligharimu shilingi bilioni 28 na
haukufanyika.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.