Pesa hizo ambazo
zitatolewa kwa shirika lisilo la kiserikali la ForumSyd zitapelekea serikali
hiyo kutoa asilimia 63 ya pesa huku zile za kaunti zikitoa masalio kwenye mradi
wa miaka minne.
Kulingana na mkuu
mpanga ratiba wa shirika hilo Jackson Obare, maeneo hayo mawili na ambayo ni
makazi ya jamii ya wafugaji yalikuwa yakiongoza kwenye takwimu za wale ambao
hawajasoma huku wakilenga kuinua haliya masomo eneo hilo.
Kwa sasa jumla ya
walimu 25 wameajiriwa ili waweze kutoa mafunzo kwa wakongwe eneo hilo pamoja na
kuwafunza vijana kuhusu kujiimarisha kimaisha kwa kuanzisha kazi ndogo ndogo.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.