Huenda wafanayakazi wa umma takiban elfu 25 wakapoteza kazi zao iwapo hoja ya kubadilisha umri wa kustaafu kazi
unaopendekezwa na mbunge wa starehe Charsle Njagwa itajadiliwa na kupitishwa na bunge.
Kwenye hoja hiyo mbunge huyo
anapendekeza kuwa umri wa kustaafu unafaa kuwa miaka 50 wala sio 60 kama ilivyo kwa sasa.
Mnamo mwaka wa 2016 tume ya wafanayazi wa umma PSC
ilisema kuwa asilimia 31 ambayo inaashiria wafanyakazi elfu 25
wamehitimu umri zaidi ya mika 50 idadi ambayo huenda imeongezeka kufikia sasa.
Katika hoja yake,Njangwa anasema
hiyo ndio njia bora pekee ya kusuluhisha tatizo la ukosefu wa kazi miongoni mwa
vijana wa humu nchini huku ikibainika kuwa takriban asilmia 75 ya wakenya ni vijana
chini ya umri wa miaka 35 na wengi wao hawana kazi.
Ameongeza kuwa jumla ya maafala elfu
800 kufuzu kila mwaka lakini wanaopata kazi huwa chini ya elfu 70
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.