Waziri wa mazingira, maji na
raslimali za kiasili katika kaunti ya Elgeyo Marakwet Abraham Barsosio amelaumu
usimamizi wa shule ya wasichana ya Mokwo katika kaunti ndogo ya Keiyo Kusini baada ya wao kuandamana
kufuatia uhaba wa maji .
Akiongea na wanahabari mjini
Iten,waziri huyo amegadhabishwa na hatua hiyo na kuwa changamoto ya uhaba wa
maji imesababisha wanafunzi hao kuandamana.
Barsosio amemnyoshea kidole cha lawama
mkuu wa shule hiyo akisema kuwa maeshindwa kutafuta suluhu la kudumu kufuatia uhaba wa maji katika shule hiyo.
Wanafunzi wa shule hiyo waliandamana
usiku wa jana huku mkuu wa shule hiyo Agnes Kigunda akisema kuwa kumeshuhudiwa
mzozo wa maji baina ya shule hiyo na wenyeji.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.