Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Hivi ndivyo unavyoweza kununua furaha kwa kutumia fedha.

Mjadala mrefu sana kwenye fedha umekuwa ni kwamba fedha haiwezi kununua furaha. Na hili linasemwa zaidi na wale ambao hawana fedha kuliko wale walio na fedha.
Ukweli ni kwamba, fedha inaweza kununua furaha, kama unajua namna sahihi ya kuinunua. Iko hivi, kadiri unavyokuwa na fedha zaidi, ndivyo unavyokuwa huru zaidi. Kama huna madeni, uko huru. Kama hutegemei mshahara kama njia pekee ya kipato, uko huru. Kama unaweza kuendesha maisha yako hata kama hufanyi kazi moja kwa moja uko huru.
Sasa basi, uhuru huwa unazalisha furaha. Kadiri unavyokuwa huru ndivyo unavyokuwa na furaha zaidi. Kwa hiyo, fedha inanunua furaha kwa kukupa wewe uhuru kamili wa maisha yako.
Kujifunza jinsi ya kupata uhuru kamili wa maisha yako kupitia fedha, soma kitabu ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, ndani yake utajifunza njia za kuongeza kipato, kudhibiti matumizi, kuweka akiba, kuwekeza, kuondoka kwenye madeni, kulinda utajiri wako na hata kutoa kwa wenye uhitaji.
Piga simu au tuma ujumbe kwenda namba 0678 977 007 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo.
Acha kujisumbua na mjadala kama fedha inanunua utajiri au la, pata kwanza fedha na utakuwa huru. Na kupata fedha, anza na kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.
0678 977 007, piga kukipata kitabu.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.