Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Jamaa akata kichwa cha babaake na kutembea nacho hadharani mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia

Polisi wamemtia mbaroni mwanamme mmoja mwenye umri  wa miaka 29 anayedaiwa kumuua babake mwenye umri  wa miaka 59 mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia.
Mshukiwa kwa jina Deniis Mwangi anasemekana kumkata marehemu babake kichwa kabala ya kutembea nayo hadharani mjini Nanyuki.
Akidhibitisha kisa hicho OCPD wa Laikipia mashariki Kizito Kilonzo  amesema kuwa bado hawajabaini kiini cha jamaa huyo kutekeleza unyama huo.Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hifadhi ya wafu kwenye hospitali ya rufaa ya Nanyuki.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.