Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

Timu ya taifa ya mchezo wa mpira wa vikapu yafuzu fainali ya mashindano ya Bara Afrika

Timu ya taifa ya mchezo wa mpira wa vikapu imefuzu   kwa fainali ya mashindano ya Bara Afrika mjini Bamako Mali.
Vijana hao  wamewaadhibu  Morocoo alama 96 kwa 66 mbele ya kadamnasi  kwenye nusu fainali ya kwanza.
Nyota wa Kenya Eric Mundoro alikuwa alionesha mchezo mzuri  na  kufunga vikapu 29.
Timu hiyo sasa itamenyana na DRC katika fainal kesho usiku na itakuwa mara ya pili timu hizo mbili kupepetana baada ya kutoa kijasho kwenye hatua ya makundi.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.