Idaraya usalama katika eneo la Elburgon Kaunti ya Nakuru imeimarisha vita dhidi ya pombe haramu.
Haya yanajiri baada ya washukiwa tano wanaogema pombe hiyo kutiwa mbaroni na maafisa wa usalama na kuzuiliwa katika kituo cha polisi ncha Elburgon.
Kamishna msaidizi katika eneo hilo Mary Mwikwabe pamoja na machifu kutoka eneo hilo kwa usaidizi wa wazee wa nyumba kumi wamefanikiwa vilevile kuna sa mashine kumi za kamari katika masako wao na kuziteketeza.
Mwikwabe amesisitiza kuwa idara ya usalama itaendelea na msako wa kuwakamata wanao vunja sheria katika eneo hilo.
Wakaazi kuto eneo hilo wameunga mkono kikamilifu oparesheni hiyo
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.