Baraza
la magavana limelazimika kupeana ujumbe wa kuniradhi baada ya mtandao wao wa
twitter kudukuliwa na kupasisha ujumbe wa kimapenzi.
Inakisiwa
kuwa ujumbe huo ulitumwa na mtu aliye na idhini ya kuandika kwenye ukrasa huo
kwa niaba ya magavana.
Ni
kisa kilichotokea jana mwendo wa saa mbili usiku huku baraza hilo likiahidi
kukabili hali hiyo
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.