Watu
kadhaa wamejeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya kundi moja la wahalifu
linalojiita wakali kwanza kuvamia wakaazi wa Bamburi kule Mombasa kwa silaha butu.
Kwa
mjibu wa taarifa tulizopokea takriba watu watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya
kukatwa kwa panga na makachinja hao takriba 30 wanaoaminika kutoka katika
kijiji cha Lake view Bamburi viungani mwa jiji la Mombasa.
Inakisiwa
kuwa walikuwa wakitaja jina Takbir kwa
mjibu wa mwana boda boda mmoja anayetambuliwa kwa jina Juma na ambaye aliepuka
ukatili wa kundi hilo.
Hata
hivyo maafisa wa polisi kutoka kutoka kituo cha polisi cha kisauni waliingilia
kati kwa haraka na kudhibiti hali baada
ya mawasiliano kutoka kwa kamanda wao eneo hilo Julius Kiragu.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.