Powered by Blogger.

Header Ads


Tag:

SPOTI- Harry Maguire hatimaye ajiunga na Man United kwa pauni milioni 80



Nyota wa safu ya ulinzi Harry Maguire hatimaye amejiunga na  Manchester United kwa kandarasi ya miaka sita  iliyogarimu pauni milioni 80  kutoka Leicester City.

Maguire sasa anaingia kwenye rekodi ya mabeki ghali duniani baada ya usajili wake kukamilika na kuwa  mchezaji rasmi wa Manchester United
Beki huyo wa kimataifa  atakuwa akilipwa mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki.

About VANTAGE MUSIC RECORDS

Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.