Afisa mmoja wa polisi wa utawala
mwenye hadhi ya constable kwa jina Samson Morongo ametiwa mbaroni kuhusiana na
tuhuma za mauaji ya mwenzake katika uwanja wa ndege wa Wilson siku ya jumamosi
julai 27.
Kwa mjibu wa taarifa kutoka idara ya
Jinai DCI ,Morongo alimpiga risasi marehemu Stephen Mkangi kabala ya kupeana
habari za uongo kuwa walivamiwa na watu
wasiojulikana na waliowanyang’anya silaha zao.
Uchunguzi wa idara ya jinai umefaulu
kudhihirisha kuwa Morongo anahusiana na
mauaji hayo kupitia mavazi yake yaliyo pelekwa katika eneo la mkasa na
kuchunguzwa kutumia teknolojia ya kipekee ya uchunguzi wa jinai.
Atafikishwa mahakamani baada ya
uchunguzi kukamilika.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.