![]() | |||||
PHOTE CREDIT :CITIZEN DIGITAL |
Washukiwa
watatu wa uvamizi ulifanywa eneo la Bamburi kaunti ya Mombasa na kujeruhi watu 13 usiku wa kuamkia leo
wametiwa mbaroni na maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kisauni.
Akizungumza
na wanahabari,afisa mkuu wa polisi eneo la Kisauni Julius Kiragu amesema kuwa
tatu hao Paul Ayub mwenye umri wa miaka 18,pamoja na wengine wawili walio chini
ya miaka 18 wanazuliwa kwenye kituo cha
polisi cha Kadzandani ili kuhojiwa kabala ya kufikishwa katika
amahakama ya Shanzu.
Wamekamatwa
na simu mbili pamoja na kifaa cha kuchaji simu maarufu power bank ambazo
zinaaminik kuporwa kutoka eneo hilo jana usiku.
Watatu
hao wanaaminika kuwa miongoni mwa wengi kwenye kikundi kimoja harami kwa jina
Wakali kwanza waliotekeleza uvamizi huo.About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.