Vijana wenye tajriba na taaluma mbalimbali wanatumwa katika mataifa yaliostawi ili kufanya kazi kwa lengo la kuongeza pato la nchi.
Ndiyo kauli ya Rais Uhuru Kenyatta akiwa jijini Kingston Jamaica anakozuru.
Kenyataa amesema kuwa Kenya itashirikiana na Jamaica ili kkimarisha
sekta ya utalii katika mataifa hayo.
Tayari kuna mpango wa kuanzishwa kwa usafiri wa ndege wa moja kwa moja kutoka Nairobi hadi Kingston – Jamaica.
Kwa mujibu wa Rais Kenyatta shirikiano baina ya mataifa hayo mawili unatarajiwa kuwa bora zaidi hii ni baada ya kikao chake na waziri mkuu wa taifa hilo Andrew Holness.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.