Naibu wa gavana wa kaunti ya Vihiga Patrick Siasi sasa anadai kuwa maisha yake yamo hatarini kufuatia tofauti zake na gavana wa kaunti hiyo Wilber Otichilo.
Siasi
awali alikuwa amerekodi taarifa katika kituo cha polisi cha Kisumu central
chini ya kamanda wa polisi wa kaunti hiyo Benson Maweu kesi nambari NO/
034/21/07/019
Aidha mkuu
huyo wa polisi amemshauri kuandikisha taarifa nyingine katika kituo cha polisi cha Vihiga katika
makao makuu ya Mbale.
Wawili hao
wamekuwa wakitupiana cheche za maneno huku akidai kudhalilishwa na gavana huyo.
Aidha
naibu speaker Nickson Butiya amesema kuwa bunge la kauni hiyo limezamia swala
hilo ili kuleta uuiano baina ya wawili hao.About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.