Wanaharakati wa kisiasa na maswala
ya kijamii katika kaunti ya Baringo wanaitaka serikali kuhakikisha kwamba
watoto walio katika hifadhi ya watoto wanapokea mgao wa fedha za kufadhili
masomo.
Wakiongozwa na Mark Kibenei na
Bonface Lesaris kutoka eneobunge la Baringo Kusini,viongozi hao wanasema bunge
la kitaifa na la Seneti lina jukumu la kubuni sheria za kuhakikisha kwamba
sheria ya kulinda haki za watoto ambao wanategemea wahisani pia wanazingatiwa
kikamilifu kwa basari,na pia ufadhili wa elimu ya juu.
Ni suala linalokuja baada ya vingozi
hao kutembelea makao ya watoto ya Sunrise mjini Kabarnet ambapo usimamizi wa
taasisi hiyo inasema watoto wenye mahitaji wanazidi kuongezeka,na kuadhiri
uwezo wa taasisi hiyo kukimu mahitaji zao za kismingi kama vile chakula,mavazi
na pia elimu.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.