Wakazi
wa maeneo ya Kasarani, Mwatu na Eastleigh katika eneo la Elburgon wameitaka
serikali ya kaunti ya Nakuru kudhibiti mbwa wanaozurura ovyo katika eneo hilo
kila kukcha.
Kulingana
na mkazi Ann Mugure, mzee mwenye umri wa makamo aliumwa na mbwa hao siku ya
Jumamosi.
Mugure
amesema chanjo dhidi ya kichaa cha mbwa ni ghali mno. Wakazi hao wanadai kuwa
wamiliki wa mbwa hao wamekuwa wakiwaacha kuzurura ovyo mitaani.
Sasa
wametishia kuchukua hatua mikononi mwao kukabiliana na wanyama hao iwapo
serikali ya kaunti itaingilia kati.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.