Mwakilishi
wa kina mama kaunti ya Nakuru Liza Chelule ameirai serikali kupitia waziri wa
mazingira Keriako Tobiko kusitisha mpango wa kufurusha zaidi ya familia elfu
sitini kutoka msitu wa Mau.
Akiongea
katika eneo la Keringet, Kuresoi Kusini kiongozi huyo amesema huenda hatua hiyo
ikaadhiri wanafunzi ambao watafanya mtihani wa kitaifa KCPE na KCSE.
Chelule
amesema kwa sasa suala hilo limezua hofu kwani bado haijabainika vizuri
mstakabali wa watu watakaofurushwa kutoka mditu huo.
Vile
vile amesema viongozi wa bonde la ufa wamejaribu juhudi kadha kwa msukumo
kutoka kwa wananchi.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.