Daktari Hillary Barchok sasa ndiye Gavana wa Bomet, baada ya kuapishwa mapema leo katika shuguli ambayo imeongozwa
na Jaji wa Mahakama Kuu ya Kericho George Dullu
Shughuli hiyo katika uwanja wa Green Stadium Mjini Bomet imehudhuriwa
na viongozi kadhaa akiwemo Naibu wa Rais William Ruto,Mwenyekiti wa Baraza la
Magavana Wycliff Oparanya na baadhi ya mawaziri.
Wadhifa huo ulisalia wazi kufuatia kifo cha Joyce Laboso ,aliyefariki
dunia tarehe 29 Julai kufuatia saratani ya yai la kizazi. Laboso alizikwa
tarehe 3, Agosti nyumbani kwake eneo la Koru Kaunti ya Kisumu.
Hayo yanajiri, huku shinikizo likizidi kutolewa na
Barchok kuhakikisha kwamba anamchagua mwanamke kuchukua nafasi ya Naibu
gavana. About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.