Naibu
gavana wa kaunti ya Bomet Hillary Barchok ataapishwa kesho rasmi kama gavana wa
kaunti hiyo kufuatia kifo cha gavana Joyce Laboso aliyezikwa juma lililopota.
Katika
hafla hiyo itakayo andaliwa kwenye makao
makuu ya kaunti hiyo mjini Sotik ,Naibu wa Rais Dkt.William Ruto ameratibiwa
kuwa miongoni mwa watakaoshuhudia.
Jaji
wa mahaka kuu ya Kericho George Dullu anatarajiwa kumwapisha Barchok.
Haya
ni kwa mjibu wa katibu mkuu wa kaunti hiyo Evelyne Rono.
Barchok
atakuwa gavana wa tatu wa kaunti hiyo baada ya marehemu Laboso na mtangulizi
wake Isaac Rutto.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.