![]() |
Picha-Hisani |
Wakazi
katika eneo la Kibunja kaunti ndogo ya Molo wameonywa dhidi ya kupora bidhaa
kutoka kwa magari ambayo yanahusika katika ajali.
Wakazi
ambao wamejitokeza katika eneo ambalo lori la kusafirisha bidhaa limeweza
kuanguka wamepora bidhaa badala ya
kusaidia dereva wa lori hilo.
Aidha
maafisa wa polisi wamefyatua risasi
hewani ili kutawanya waliokuwa wakipora bidhaa hizo kutoka kwa lori hilo
Mkuu
wa polisi kaunti ndogo ya Molo Isaac Odumbe amesema ni uhalifu kwa wananchi
kuiba bidhaa kutoka maeneo ya mkasa
Aidha
baadhi ya wananchi wamesema wakazi wanatamaduni ya kukibilia maeneo ya mkasa na
kubeba bidhaa kutoka kwa magari haswa yale ya kusafirisha bidhaa
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.