Kikao cha bunge la kitaifa vimesambaratishwa mapema leo kwa muda baada ya mwakilishi wa kike kaunti ya Kwale Zuleika
Hassan kuingia bungeni na mtoto wake mwenye umri wa miezi mitano.
Kwa
mjibu wa Christopher Omulele aliyekuwa akihudumu kama spika wa kikao
hicho,mwakilishi huyo alivunja kanuni za bunge kwa kuingia na mtoto huyo
bungeni.
Hatua
hiyo ilimlazimu kuitisha usaidizi kutoka kwa maafisa wa usalama bungeni
kumwondoa mwakilishi huyo nje baada ya kudinda kuitikia agizo la spika.
Aidha
baadhi ya wabunge waliunga mkono mwakilishi huyo huku wakidokeza kuwa hakua
amekosea kwa kuja na mwanawe.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.