Mamlaka ya usimamizi wa barabara kuu mijini KURA
inalenga kufunga sehemu barabara kuu ya Thika
kwa muda wa mwezi mmoja ili kutoa nafasi ya ukarabati wa kuipanua.
Kwa mjibu wa KURA usafiri katika barabara hiyo unatarajiwa
kutatizika haswa katika eneo la Ruaraka kuanzia leo.
Wahudumu wa magari na umma kwa ujumla wametakiwa kuridhia mabadiliko hayo ili
kupunguza msongamano unaoshuhudiwa
katika barabara hio mara kwa mara haswa eneo la ALSOAPS karibu na makao makuu ya polisi wa GSU
Kufuatia hilo idara ya trafiki imetoa wito kwa madereva
kuzingatia ipasavyo alama za trafiki zilizoezekwa katika sehemu
mbalimbali za barabara hiyo ili kuzuia uwezekano.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.