Serikali imesema kuwa itaendelea kuisaidia vijana wa huduma kwa taifa
nchini NYS ili waweze kutimiza malengi yao licha ya tuhuma za ufisadi
zinazokabili baadho ya viongozi wa shirika hilo.
Haya ni kwa mujibu wa waziri wa vijana profesa Margret Kobia na ambaye
amesema kuwa muundo wa NYS ulikuwa umebuni nafasi tele za kazi kote nchini.
Akizungumza wakati wa siku ya familia kwa zaidi ya makurutu elfu kumi
katika chuo cha mafunzo cha NYS huko Gilgil, Kobia amesema wizara yake
itawaajiri vijana 300 kutoka chuo hicho huku mashirika mengine ya kiserikali
ikifuata baadaye.
Naye katibu wa kudumu katika wizara hiyo Francis Owino amesema makurutu
hao wataendelea kupata mafunzo ya kibiashara na jinsi ya kukabiliana na maswala
ya dharura miongoni mwa mafunzo mengine.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.