Tottenham hawana uhakika na nia ya
Christian Eriksen kutokana na kuvunjika kwa mahusiano kati ya mwenyekiti
wao Daniel Levy na wakala wa kiungo huyo mwenye miaka 27 raia wa
Denmark.
Meneja wa zamani wa Tottenham
Harry Redknapp anaamini Eriksen anatakiwa kuanza kwenye mechi za Spurs
licha ya kutokujulikana kwa hatma yake ya mbeleni.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.