Vijana kwenye eneo la Wanyororo ndani
ya kaunti ndogo ya Bahati leo wamefanya maandamano ya amani katika eneo la
Maili Kumi, kwa kile wanachodai kunyimwa nafasi za ajira kwenye kampuni ya GDC
iliyoko eneo la Menengai.
Wakiongozwa na Ronard Gachuhi, vijana
hawa wamesema kuwa wafanyikazi kwenye kampuni hiyo hutolewa kwenye kaunti
zingine, ilhali kuna vijana ambao wana ujuzi wa kufanya kazi kwenye kampuni
hiyo lakini hawapati nafasi.
Ni kauli ambayo imeungwa mkono na
mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri, ambapo amemulaumu mkurugenzi mkuu wa kampuni
hiyo kwa kusema kuwa kampuni hiyo inafaa kuwafaidi wakaazi wa eneo hilo, bali
si wakaazi wa kutoka kaunti zingine.About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.

