Mwanamke
mmoja mwenye umri wa miaka 40 mjini
Naivasha amejitoa uhai baada ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya matiti.
Kwa
mjibu wa jamaa zake mwanamke huyo kwa jina Purity Muthoni alijitia kitanza
katika nyumba ya dada yake iliyoko eneo la Kasarani mijini humo baada ya kutoka
katika hospitali ya Kenyatta ambapo alikuwa ameenda kupokea matibabu.
Marehemu
ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akitafuta matibabu kutoka hospitali
mbali mbali nchini bila suluhisho.
OCPD
wa Naivasha Samuel waweru amethibitisha
tukio hilo huku akisema kuwa mwili wa marehemu umesafirishwa hadi katika chumba
cha kuhifadhi wafu kwenye hospitali ya kaunti ndogo ya Naivasha
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.