Madiwani
wa zamani katika eneo bunge la Molo wamepuuzilia mbali juhudi za mswada wa
punguza mzigo
Viongozi
hao wa zamani wamesema mfadhili wa mswada huo dkt Ekuru Aukot hakukusanya maoni ya wananchi katika taifa lote
isipokuwa kukusanya sahihi alizowasilisha kwa tume ya uchaguzi IEBC.
Wakiongozwa
na Njenga Matendo wamesema mpango wa Aukot haujatoa suluhu kwa matitizo ambayo
yamekuwa yakigubika taifa baada ya uchaguzi
Viongozi
hao wametaja maeneo ya bonde la ufa pamoja na nyanza kama maeneo ambayo
yameshuhudia machafuko ya kisiasa kwa miaka mingi nchini
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.