Huku
mtaala mpya ukishika kasi nchini baadhi ya viongozi wa kaunti ya Nandi wanataka wazazi kujiusisha na mtaala huo kwa
kuwasaidia watoto wao wakiwa nyumbani wakati likizo ili kufanikisha mtaala huo.
Akizungumza
na kituo hiki mbunge wa Mosop Vincent
Tuwei amesema kuwa mtaala huu unaitaji
mchango wa wazazi kwa asilimia 40 huku akiwataka kuzuru shule ili kuhamasishwa zaidi.
Tuwei
vile vile ametaka bodi za shule kupewa
mafunzo kuhusiana na mtaala huo sawia na walimu ili waweze kufahamu na
kuwezesha mpango huo akiongezea kuwa wanaunga mkono mtaala huo.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.