Mwili
wa mwanawe mbunge wa Ikolomani Benard Shinali unatarajiwa kusafirishwa hadi
nchini siku ya Kesho.
Marehemu
kwa jina Chris Atema Masaka ambaye
amekuwa akihudumu katika jeshi la wanamaji
nchini marekani aliaga dunia tarehe 26 mwezi ulioputa baada ya kuzama maji akijaribu kumuokoa binti mmoja raia wa Canada.
Kwa
mjibu wa familia yake,marehemu alikuwa kwenye likizo ya kazi katika eneo la
Harizona kabla ya kukumbana na mauti yake.
Mbunge
Shinali tayari amesafiri nchini Marekani kubainisha kilichotokea kabla ya kuusafirisha kwa mwili huo ambao utapumzishwa wikendi hii.
Masaka
alikuwa baba ya watoto wawili huku akimwacha mjane na uja uzito.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.