Mwanabiashara
mashuhuri nchini Chris
Kirubi amesafirishwa hadi Marekani kwa matibabu ya dharura baada ya hali yake ya afya kudhoofika wikendi
iliyopita.
Kwa
mjibu wa taarifa kutoka kwa watu walio karibu na familia hiyo tajiri
nchini,Kirubi hajakuwa na afya dhabiti kwa muda sasa.
Inaarifiwa
kuwa amelazwa katika hospitali moja
ghali zaidi marekani ambapo amekuwa akizuru kwa matibabu.
Taarifa
pia zinadokeza kuwa mfanyibiashara hiyo hivi majuuzi amekuwa katika mpango wa
kuuza baadhi ya mali anayomiliki ikiwemo kituo kimoja cha utangazaji nchini.
Hii
ni mara ya pili kwa muda wa mwaka mmoja kwa mkwasi huyo kusafirishwa nje ya nchi
kwa matibabu ya dharura.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.