Mwanamke
mmoja amejifungua mtoto wake katika taxi moja ya UBER akikimbizwa hospitalini
kaunti ya Nairobi mapema leo.
Mwanamke
huyo amabye tumembana jina alikuwa akikimbizwa katika hospitali ya Nairobi West
kabla ya kupokea malaika huyo ndani ya Taxi hiyo.
Inaarifiwa
kuwa aliomba ruhusa kutoka kazini mapema leo kabaa ya kuzidiwa njiani,ambapo
mwana taxi kwa jina Nelson Munene alimuona na kumsaidia kufika hospitalini.
Hata
hivyo wakiwa katika barabara ya Kimathi jijini humo alilemewa huku dereva huyo
akiomba masaada alioupata kutoka kwa wapita njia pamoja na madakatari kutoka
hospitali ya Meridian waliokuwa karibu nao.
About VANTAGE MUSIC RECORDS
Hi, My Name is Hafeez. I am a webdesigner, blogspot developer and UI designer. I am a certified Themeforest top contributor and popular at JavaScript engineers. We have a team of professinal programmers, developers work together and make unique blogger templates.